Loading...
title : TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI
link : TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI
TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI
Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Jairo akiongea machache kabla kumkaribisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (wa tatu kushoto) kufungua semina ya siku mbili ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kutoka (kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Rasilimali watu, Dkt. Amos Ibrahim, Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael Muhoja na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akiongea na wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kutoka (kulia) ni Naibu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Taalum, Utafiti na Ushauri, Dkt. Lewis Isemwi, Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Isaya Jairo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard Kayombo na Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael Muhoja.
Sehemu ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Hivyo makala TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI
yaani makala yote TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tra-yatoa-mafunzo-kwa-wahasibu-na.html
0 Response to "TRA YATOA MAFUNZO KWA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA TAASISI ZA SERIKALI"
Post a Comment