Loading...
title : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JAPHET HASUNGA ATOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA KWA MWAKA 2017
link : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JAPHET HASUNGA ATOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA KWA MWAKA 2017
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JAPHET HASUNGA ATOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA KWA MWAKA 2017
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza katika hafla ya Waongoza watalii bora kwa mwaka 2017 iliyofanyika jana katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Wengine ni waandaji wa tuzo hiyo. ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki ( wa nane kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waongoza watalii bora kwa mwaka 2017 katika hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Wengine ni waandaji wa tuzo hiyo. ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga ( wa tano kushoto) akiwa Wakurugenzi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii katika hafla ya Waongoza watalii bora kwa mwaka 2017 iliyofanyika jana katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JAPHET HASUNGA ATOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA KWA MWAKA 2017
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JAPHET HASUNGA ATOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA KWA MWAKA 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JAPHET HASUNGA ATOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA KWA MWAKA 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-wa-maliasili-na-utalii.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JAPHET HASUNGA ATOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA KWA MWAKA 2017"
Post a Comment