Loading...
title : UJENZI BARABARA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI
link : UJENZI BARABARA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI
UJENZI BARABARA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI
Sehemu ya madaraja yanayojengwa katika Barabara inayotoka kimara Korogwe kupitia Kibangu mpaka Tabata yakiwa katika hatua za Mwisho za kukamilika hili kupunguza foleni katika barabara ya Morogoro Road ambayo inajengwa kw anjia sita kwa sasa kutoka Ubungo mpaka kibaha hivyo njia hizi za mchepuko zitasaidia kwa kiasi kikubwa kugawa magari yanayokwenda Tabata, Vingunguti mpaka Temeke.
Upande wa pili wa daraja hilo ukionekana huku gari ikibeba udongo usiohitajika katika pembezoni mwa daraja hilo.
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara Korogwe kupitia Kibangu Mpaka Tabata Kisukulu kwa kiwango cha zege kama ilivyojengwa barabara ya Mwendokasi
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara Korogwe kupitia Kibangu Mpaka Tabata Kisukulu kwa kiwango cha zege kama ilivyojengwa barabara ya Mwendokasi huku upande uliokamilika vyombo vya moto.
Hivyo makala UJENZI BARABARA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI
yaani makala yote UJENZI BARABARA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI BARABARA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/ujenzi-barabara-kimara-korogwe-kwenda.html
0 Response to "UJENZI BARABARA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI"
Post a Comment