Loading...
title : NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR
link : NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR
NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR
Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, jana (Jumamosi, Sept. 30,2017) alifunga ndoa ya kifahari na Catherine Mdamu, iliyolifanya Jiji la Dar es Salaam lisimame kwa muda, ikifuatiwa na sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City. Katika sherehe hiyo, wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na mkurugenzi wao, Eric Shigongo, jamaa na marafiki, walijumuika kula, kunywa mpaka kusaza na kucheza muziki mzuri, mpaka usiku sana huku kukiwa na 'special appearance' ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.
Harusi ya Abdallah na Catherine, Mlimani City - Part 1
Harusi ya Meneja Abdallah na Catherine, Mlimani City - Part 2
Hivyo makala NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR
yaani makala yote NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/ndoa-ya-meneja-wa-global-publishers.html
0 Response to "NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR"
Post a Comment