Loading...

TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA

Loading...
TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA
link : TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA

soma pia


TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA


 Mwanamuziki mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohammed 'TID Mnyama' Akiwa amebebwa juu na Mashabiki waliofia Kilimani bara wakati wa Tamasha la Mziki Mnene linaloendeshwa na Rdio ya EFM kupitia programu ya nje ndani.

 Mwanamuziki mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohammed 'TID Mnyama' akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
 RdJ Mamy akifanya vitu vyake katika Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
 RDJ Majey Majizo akicheza na Tantable wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
 Msanii wa Muziki wa Singeli Manfongo akiimba wakati wa  Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
 Msanii wa Bongo Fleva Shetah akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
 RDJ SPUR akionyesha ufundi wa kuchez ana mashine wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
 Mkali wa Muziki wa Singeli nchini , Virus Mdudu akifanya mashambulizi katika jukwa la Mziki Mnene  lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
 Mtangazaji wa Kipindi cha Genge , Pido akifanya yake kwenye Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam

Mashabiki walifika katika Tamasha la Mziki Mnene  lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam


Hivyo makala TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA

yaani makala yote TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tid-afunika-tamasha-la-efm-mziki-mnene.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TID AFUNIKA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE KIMARA"

Post a Comment

Loading...