Loading...

NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI.

Loading...
NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI.
link : NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI.

soma pia


NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI.

Mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam imesababisha adhaa kwa wakazi wa jiji hilo ambapo kwa maeneo ya Mbezi kuelekea Bwaloni/Kwa Msuguli au Malamba Mawili Shule nguzo ya umeme ya shirika la umeme la TANESCO imedondoka eneo la Malamba Mawili msikitini na kusababisha kufunga njia kwa wasafiri wa magari ambapo hakuna magari yanayovuka kwenda upande wa pili. 

Tanesco tunawaomba msaada tumekwama inasemekana imedondoka saa 9 Usiku kuamkia leo 26.10.2017.



Hivyo makala NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI.

yaani makala yote NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/nguzo-ya-umeme-yadondoka-mbezi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NGUZO YA UMEME YADONDOKA MBEZI KWA MSUGULI."

Post a Comment

Loading...