Loading...
title : Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha
link : Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha
Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akizungumza kuwakaribisha washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha (hawapo pichani) kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Biashara kati ya Mabenki, Bi. Heidi Toribio akishuhudia.
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kushoto) akizungumza jambo na baadhi ya washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akipongezana na mmoja wa washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam
Burudani ikiendelea katika hafla hiyo.
Washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha wakibadilishana mawazo kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha wakibadilishana mawazo kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha wakibadilishana mawazo kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza jambo na Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na Wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam. Katikati ni mmiliki wa mtandao maarufu wa Josephatlukaza.com, Josephat Lukaza akifuatilia mazungumzo hayo.
Hivyo makala Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha
yaani makala yote Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/benki-ya-standard-chartered-yawaandalia_26.html
0 Response to "Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha"
Post a Comment