Loading...

Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar

Loading...
Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar
link : Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar

soma pia


Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar






Meli ya BGP EXPLORER kutoka China itayoshughulika na Utafiti wa Mafuta na Gesi ambayo imezinduliwa na Makamo wa Rais wa Zanzibar Bolozi Seif Ali Idi ikiwa imetia nanga katika Bandari ya Zanzibar.

Baadhi ya waheshimiwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China katika Visiwa vya Zanzibar wakisikiliza Hotuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi hayupo pichani uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Ali Khalil Mirza akitoa maelezo mafupi ya Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama akizungumza machache kuhusiana na Utafiti wa Mafuta na Gesi katika Visiwa vya Zanzibar katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

Muakilishi wa Kampuni ya BGP EXPLORER Gou Yunhui akizungumza machache katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib akitoa hotuba ya makaribisho katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.kulia ni Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib na kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa kartika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.


Hivyo makala Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar

yaani makala yote Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/nishati-meli-ya-utafiti-wa-mafuta-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nishati : Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Yazinduliwa Zanzaibar"

Post a Comment

Loading...