Loading...
title : Rais Magufuli afanya mabadiliko baraza la Mawaziri . Mawaziri wanne watemwa
link : Rais Magufuli afanya mabadiliko baraza la Mawaziri . Mawaziri wanne watemwa
Rais Magufuli afanya mabadiliko baraza la Mawaziri . Mawaziri wanne watemwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2017. Wakimsikiliza ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na maafisa waandamizi wa Ofisi ya Rais. Picha na Ikulu
Rais John Magufuli amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kwa kuwatema mawaziri wanne waliokuwepo kwenye baraza la awali.
Mwingine aliyeachwa ni aliyekuwa Waziri Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge ambaye nafasi yake imechukuliwa na Mbunge wa Katavi, Mhandisi Issack Kamwele aliyekuwa naibu waziri wa wizara hiyo.
Panga hilo limempitia pia aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura ambaye nafasi yake imechukuliwa na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Juliana Shonza.
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani naye ametupwa nje na nafasi yake kuchukuliwa na Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga.
Hii ni mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri tangu aingie madarakani.
Hivyo makala Rais Magufuli afanya mabadiliko baraza la Mawaziri . Mawaziri wanne watemwa
yaani makala yote Rais Magufuli afanya mabadiliko baraza la Mawaziri . Mawaziri wanne watemwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli afanya mabadiliko baraza la Mawaziri . Mawaziri wanne watemwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-magufuli-afanya-mabadiliko-baraza.html
0 Response to "Rais Magufuli afanya mabadiliko baraza la Mawaziri . Mawaziri wanne watemwa"
Post a Comment