Loading...
title : WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAMETAKIWA KUSIMAMIA WELEDI KATIKA KAZI ZAO
link : WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAMETAKIWA KUSIMAMIA WELEDI KATIKA KAZI ZAO
WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAMETAKIWA KUSIMAMIA WELEDI KATIKA KAZI ZAO
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Khamis Shaban akizungumza wakati wa mahafali ya 8 ya Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugazi (PSPTB), Yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi katika Sherehe ya Mahafali ya nane ya bodi yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Makamu Mkuu wa Chuo cha Ushirika Moshi(MOCU), Neema Kumburu akipokea cheti cha chuo hicho kuongoza katika utoaji wa masomo hayo mwaka wa pili Mfululizo
Hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji wa bodi ya wataalamu wa Ununuzi na Ugavi akitoa nasaha kabla ya kumkaribisha mgeni Ramsi katika Mahafali ya 8 ya chuo hicho
Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi,Ahmed Kilima akitoa hotuba ya Shukrani wakati wa kufunga mahafali ya 8 ya bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugazi (PSPTB), Yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Shahada ya Utaalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakisoma Kiapo Mbele ya Mgeni Rasmiwakati wa mahafali ya 8 ya bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugazi (PSPTB), Yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAMETAKIWA KUSIMAMIA WELEDI KATIKA KAZI ZAO
yaani makala yote WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAMETAKIWA KUSIMAMIA WELEDI KATIKA KAZI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAMETAKIWA KUSIMAMIA WELEDI KATIKA KAZI ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wataalamu-wa-ununuzi-na-ugavi.html
0 Response to "WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAMETAKIWA KUSIMAMIA WELEDI KATIKA KAZI ZAO"
Post a Comment