Loading...
title : ShamraShamra za Kilele Cha Mbio za Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar leo. Vijana wa Halaiki.
link : ShamraShamra za Kilele Cha Mbio za Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar leo. Vijana wa Halaiki.
ShamraShamra za Kilele Cha Mbio za Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar leo. Vijana wa Halaiki.
Vijana wa Skuli mbalimbali wakishiriki katika onesho la Halaiki katika viwanja vya Amaan Zanzibar kuadhimisha kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kuadhimisha miaka 18 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julias Nyerere na kuadhimisha Wiki ya Vijana.
Vijana wa halaiki wakionesha maombo mbalimbali.
Vijana wa sarakasi wakionesha maombo ya Viwanda na Kilimo wakati wa maonesho ya halaiki kuadhimiosha kilele cha mbio za Mwenge Kisiwani Zanzibar katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Hivyo makala ShamraShamra za Kilele Cha Mbio za Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar leo. Vijana wa Halaiki.
yaani makala yote ShamraShamra za Kilele Cha Mbio za Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar leo. Vijana wa Halaiki. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ShamraShamra za Kilele Cha Mbio za Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar leo. Vijana wa Halaiki. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/shamrashamra-za-kilele-cha-mbio-za.html
0 Response to "ShamraShamra za Kilele Cha Mbio za Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar leo. Vijana wa Halaiki."
Post a Comment