Loading...
title : Shirika la Viwango Tanzania (TBS) latoa elimu ya shughuli zake kwa wadau wa biashara
link : Shirika la Viwango Tanzania (TBS) latoa elimu ya shughuli zake kwa wadau wa biashara
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) latoa elimu ya shughuli zake kwa wadau wa biashara
Mwakilishi wa kampuni ya Tansafrica Water System Bi. Imelder Kimambo akitoa maoni yake katika semina ya wadau wa biashara katika ofisi za Shirika la Viwango Tanzania (TBS) jijini Dar es Salaam jana.Lengo la semina hiyo ni kubadilishana mawazo na kuelekezana namna taratibu za viwango zinavyofanyika.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Profesa Egid Mubofu akisisitiza jambo kwenye semina ya wadau wa biashara iliyofanyika katika ofisi za shirika hilo jijini Dar es Salaam jana ikiwa na lengo la kutoa elimu na taratibu mbalimbali kuhusiana na bidhaa zinazozalishwa ndani na kuingizwa kutoka nje ya nchi.
Hivyo makala Shirika la Viwango Tanzania (TBS) latoa elimu ya shughuli zake kwa wadau wa biashara
yaani makala yote Shirika la Viwango Tanzania (TBS) latoa elimu ya shughuli zake kwa wadau wa biashara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shirika la Viwango Tanzania (TBS) latoa elimu ya shughuli zake kwa wadau wa biashara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/shirika-la-viwango-tanzania-tbs-latoa.html
0 Response to "Shirika la Viwango Tanzania (TBS) latoa elimu ya shughuli zake kwa wadau wa biashara"
Post a Comment