Loading...

SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI

Loading...
SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI
link : SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI

soma pia


SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI

Na Agness Francis,Blog ya Jamii

Naibu mstahiki meya wa Manispaa ya Halmashauri ya Ilala Omary Kumbilamoto amezindua kisima cha maji katika mahafali ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari Buyuni iliyopo Chanika katika Manispaa hiyo.

Katika mahafali hayo yaliofanyika katika Shule ya Sekondari Buyuni kata ya Chanika Jijini Dar es Salaam Naibu mstahiki meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto amesema kuwa ametoa shukrani kwa Taasisi ya Time for Help ya Uturuki kwa ushirikiano wao wa kutoa msaada wa kisima cha maji ili kusaidia wanafunzi hao ambao kwa sasa wameondokana na tatizo la maji.

Nae Katibu wa Taasisi ya Time for Help ya Uturuki Ibrahimu Ibrahim ametoa shukrani za dhati kwa kupata ushirikiano na walimu katika kukamilisha zoezi hilo na pia amewataka wanafunzi hao kutunza vema kisima hicho ambacho kitawasaidia kutunza mazingira na kutatua matatizo mengine madogomadogo.

Vilevile pia Mwalimu mkuu Shule ya Sekondari Buyuni ,Bonifasi Mwalwego ametoa shukrani zake kwa Taasisi ya Time for Help ya Uturuki kwa ufadhili wa kuwaletea mkombozi wa kisima cha maji ambacho kwa sasa kimeanza kuwasaidia kwa matumizi mbalimbali.

Aidha Mwalimu Mwalwego amesema kuwa ikiwa toka shule hiyo ipate usajiri wake mwaka 2006 sasa ni mahafali nane kufanyika shuleni hapo na ametoa wito kwa wanafunzi kuzingatia elimu hasa kwa wasichana wanaohitimu wale wasikivu pamoja na kuwa na nidhamu pindi wanapokuwa majumbani na kutumia vema elimu waliyoipata.
Naibu mstahiki meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizindua kisima cha maji kilichofadhiliwa na Taasisi ya Time for Help ya Uturuki wakati wa mahafali ya Shule ya Sekondari Buyuni kata ya Chanika Jijini Dar es Salaam.
Naibu mstahiki meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akizungumza na wageni waalikwa na wafadhili Taasisi ya Time for Help ya Uturuki waliojitokeza kutoa msaada wa kisima cha maji wakati wa mahafali ya Shule ya Sekondari Buyuni kata ya Chanika Jijini Dar es Salaam 
Mwalimu mkuu wa Shule ya Sekondari Buyuni, Bonifasi Mwalwego akizunguza na wageni waalikwa wakati wa mahafali ya Shule ya Sekondari Buyuni kata ya Chanika Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Taasisi ya Time for Help ya Uturuki, Ibrahimu Ibrahim akizungumza na wageni waalikwa akishukuru walimu kwa ushirikiano wao mapaka kukamilisha zoezi hilo la kisima wakati wa mahafali ya Shule ya Sekondari Buyuni kata ya Chanika Jijini Dar es Salaam
Wanafunzi wa vidato mbalimbali wa shule hiyo wakitoa burudani ya kucheza nyimbo tofauti tofauti kwa wageni waalikwa kwaya wakati wa mahafali ya Shule ya Sekondari Buyuni kata ya Chanika Jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI

yaani makala yote SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/shule-ya-sekondari-buyuni-chanika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHULE YA SEKONDARI BUYUNI CHANIKA YAONDOKANA NA UHABA WA MAJI"

Post a Comment

Loading...