Loading...
title : SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU
link : SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini odoma.
Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akijadiliana jambo na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipokea barua ya ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Bunge lma Nchi za Kiarabu, anayekabibidhi barua hiyo ni Mjumbe Maalum wa Rais huyo, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud wakati alipomtembelea leo Ofisin kwake Mjini Dodoma.
Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akipokea zawadi ya kinyago kutoka kwa Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai walipokutana na kufanya mazungumzo leo Ofisini kwake Mjini Dodoma
Hivyo makala SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU
yaani makala yote SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/spika-wa-bunge-akutana-na-mjumbe-maalum.html
0 Response to "SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU"
Post a Comment