Loading...
title : JWTZ KESHO KUAGA MIILI YA MASHUJAA WETU WALIOUWAWA NCHINI DRC.
link : JWTZ KESHO KUAGA MIILI YA MASHUJAA WETU WALIOUWAWA NCHINI DRC.
JWTZ KESHO KUAGA MIILI YA MASHUJAA WETU WALIOUWAWA NCHINI DRC.
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linategemea kuaga Miili ya Mashujaa wetu waliouwawa wakiwa katika Jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC hivi karibuni.
Marehemu wataagwa rasmi kesho Desemba 14, 2017 kuanzia saa 1 asubuhi katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Upanga jijini Dar es Salaam.
Wananchi wote wanakaribishwa katika kuaga Miili ya Mashujaa wetu.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Desemba 13, 2017.
Hivyo makala JWTZ KESHO KUAGA MIILI YA MASHUJAA WETU WALIOUWAWA NCHINI DRC.
yaani makala yote JWTZ KESHO KUAGA MIILI YA MASHUJAA WETU WALIOUWAWA NCHINI DRC. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JWTZ KESHO KUAGA MIILI YA MASHUJAA WETU WALIOUWAWA NCHINI DRC. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/jwtz-kesho-kuaga-miili-ya-mashujaa-wetu.html
0 Response to "JWTZ KESHO KUAGA MIILI YA MASHUJAA WETU WALIOUWAWA NCHINI DRC."
Post a Comment