Loading...

Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga

Loading...
Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga
link : Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga

soma pia


Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga

Mwambawahabari 

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Simon Haule amethibitisha kuokotwa kwa viungo vya mwili wa binadamu katika bwawa la maji la Jomu wakati watu wakitafuta maji huko Tinde mkoani Shinyanga.

Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Simon Haule alidai kuwa iku ya Jumatatu  watu walipoona viungo hivyo vya binadamu ilibidi kutoa taarifa kwa jeshi la polisi na wao walifika na kukuta viungo hivyo.

"Fuvu la kichwa limepatikana hapo bwawani, taya ya binadamu, mbavu za binadamu kumi na nne.

"Baada ya kupatikana kwa taarifa hizo jeshi la polisi lilichukua hatua za haraka kufika eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi wa awali tukishirikiana na daktari mtaalam wa viungo vya binadamu 

"Katika tukio hilo tulikuta viungo hivyo ikiwa pamoja na mfupa mmoja wa sehemu ya paja, mifupa ya mikono na mifupa ya sehemu ya bega ya binadamu" alisema Simon Haule

Aidha Kamanda Haule alisema kuwa uchunguzi wa tukio hilo unaendelea ikiwa pamoja na kufungasha mifupa yote na kupeleka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kufanya vipimo kubaini vinasaba na jinsia ya mtu ambaye amefariki.

==>Msikilize kamanda akiongea hapo chini


Hivyo makala Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga

yaani makala yote Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/taarifa-ya-jeshi-la-polisi-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mifupa ya Binadamu iliyokutwa kwenye bwawa mkoani Shinyanga"

Post a Comment

Loading...