Loading...
title : TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
link : TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa Wataalamu wetu wanafanya matengenezo ya dharura katika Mfumo wa kupokea gesi kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia cha Kinyerezi I.
Hivyo Kituo kitazimwa Saa 6:00 mchana hadi Saa 7:00 Mchana ili kupisha matengenezo.
Baadhi ya maeneo mbalimbali ya nchi katika kipindi hicho yatakosa umeme.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
http://ift.tt/2z4rvli /http://twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
31/10/2017
Hivyo makala TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
yaani makala yote TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/taarifa-ya-matengenezo-ya-dharura-kituo.html
0 Response to "TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I"
Post a Comment