Loading...
title : wafanyakazi wa Ikulu wafanya matembezi siku ya kilele cha mbio za Mwenge
link : wafanyakazi wa Ikulu wafanya matembezi siku ya kilele cha mbio za Mwenge
wafanyakazi wa Ikulu wafanya matembezi siku ya kilele cha mbio za Mwenge
Katibu Mkuu Ikulu Ndugu Alphayo Kidata akiongea na wafanyakazi wa Ikulu baada ya matembezi ya kutoka Ikulu mpaka Leaders Club Leo siku ya kilele cha mbio za Mwenge 14 Oktoba 2017 sambamba na maadhimisho ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo shughuli hizo kitaifa zimefanyika Zanzibar na Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ikulu wakimsikiliza Katibu Mkuu Ikulu Ndugu Alphayo Kidata alipokuwa akifafanua mambo mbalimbali mapema leo.mara baada ya matembezi ya kutoka Ikulu mpaka Leaders Club Leo siku ya kilele cha mbio za Mwenge 14 Oktoba 2017 na maadhimisho ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu wakiwa katika mazoezi laini laini mara baada ya kumaliza matembezi ya kutoka Ikulu mpaka Leaders Club Leo siku ya kilele cha mbio za Mwenge 14 Oktoba 2017.
Hivyo makala wafanyakazi wa Ikulu wafanya matembezi siku ya kilele cha mbio za Mwenge
yaani makala yote wafanyakazi wa Ikulu wafanya matembezi siku ya kilele cha mbio za Mwenge Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala wafanyakazi wa Ikulu wafanya matembezi siku ya kilele cha mbio za Mwenge mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wafanyakazi-wa-ikulu-wafanya-matembezi.html
0 Response to "wafanyakazi wa Ikulu wafanya matembezi siku ya kilele cha mbio za Mwenge"
Post a Comment