Loading...
title : WAZAZI KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA MREFU KUKAA NA WATOTO WAO ILI WAWEZE KUWAPATIA MALEZI YATAKAYOWAPELEKA KUWA NA MAKUZI BORA.
link : WAZAZI KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA MREFU KUKAA NA WATOTO WAO ILI WAWEZE KUWAPATIA MALEZI YATAKAYOWAPELEKA KUWA NA MAKUZI BORA.
WAZAZI KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA MREFU KUKAA NA WATOTO WAO ILI WAWEZE KUWAPATIA MALEZI YATAKAYOWAPELEKA KUWA NA MAKUZI BORA.
Wazazi kote nchini wametakiwa kutenga muda mwingi kukaa na watoto wao ili waweze kuwapatia malezi yaliyo bora na yenye tija yatakayowasidia katika ukuaji kwa maisha yao ya sasa na ya baadae.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudhibiti ukimwi ambaye pia ni Naibu Meya wa Manispaa hiyo Mh Manyama Mangaru alipokuwa katika ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo iliyo chini ya kamati hiyo.
Amesema ni vema wazazi wakatambua nafasi yao katika maisha ya makuzi ya mtoto na kuhakikisha wanawapatia elimu bora ya ukuaji na kujilinda dhidi ya magonjwa ambukizi na hatarishi.
Naye Ndg.Steven Mfuko ambaye ni Mkurugenzi wa Asasi ya kiraia inayojishughulisha na maswala ya uelimishaji jamii kuhusiana na afya ya uzazi amesema zipo changamoto zinazomkabili mtoto akiwa na umri mdogo ambapo zikifanyiwa kazi tutaokoa kizazi cha sasa na cha baadae.
Amezitaja changamoto hizo kuwa ni kupeleka watoto wadogo shule za bweni, wazazi kutokuwa walezi wa watoto, maswala ya utandawazi na watoto kubalehe wakiwa na umri mdogo.
Katika hatua nyingine Mh Manyangu amezitaka Asasi za kiraia kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha elimu ya afya ya uzazi kwa vijana inatolewa bila kufichwa ili waweze kutambua bayana faida na hasara za kujihusisha na maswala yasiyo na tija katika maisha ya ukuaji Kama kijana.
Kamati hii imetembelea Asasi ya Wamata iliyoko mikocheni, na Asasi ya UNA iliyoko Magomeni .
Imetolewa na
Kitengo cha Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni.
Kitengo cha Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni.
Hivyo makala WAZAZI KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA MREFU KUKAA NA WATOTO WAO ILI WAWEZE KUWAPATIA MALEZI YATAKAYOWAPELEKA KUWA NA MAKUZI BORA.
yaani makala yote WAZAZI KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA MREFU KUKAA NA WATOTO WAO ILI WAWEZE KUWAPATIA MALEZI YATAKAYOWAPELEKA KUWA NA MAKUZI BORA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZAZI KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA MREFU KUKAA NA WATOTO WAO ILI WAWEZE KUWAPATIA MALEZI YATAKAYOWAPELEKA KUWA NA MAKUZI BORA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wazazi-kote-nchini-wametakiwa-kutenga.html
0 Response to "WAZAZI KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA MREFU KUKAA NA WATOTO WAO ILI WAWEZE KUWAPATIA MALEZI YATAKAYOWAPELEKA KUWA NA MAKUZI BORA."
Post a Comment