Loading...

WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA

Loading...
WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA
link : WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA

soma pia


WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA

Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani (WAMY) Dk,Sultan akizungumza machache kuhusiana na matibabu watakayoyaendesha wakati walipokutana nakufanya mazungumzo katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.madaktari hao watakuwepo kisiwani Pemba kutoa matibabu mbalimbali ikiwemo matatizo ya akina mama na mifupa kwa siku 10.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani(WAMY)kuhusiana na matibabu watakayoyaendeshaKisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akipokea Zawadi ya Sahani baada ya kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani(WAMY) kuhusiana na matibabu watakayoyaendesha Kisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANIZBAR.


Hivyo makala WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA

yaani makala yote WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/waziri-wa-afya-afanya-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA"

Post a Comment

Loading...