Loading...
title : WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIVYOFANA BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.
link : WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIVYOFANA BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIVYOFANA BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.
BENKI ya CRDB tawi la Kariakoo lasherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo inafanyika kila mwaka kwa wiki nzima kuanzia leo Oktoba 2 hadi Oktoba 6,2017.
Akizungumza katika uzinduzi wa wiki ya Huduma kwa wateja, Meneja wa benki ya CRDB tawi la Kariakoo, Diana Mtalo jijini Dar es Salaam leo amesema wiki hii ni wiki ya huduma kwa wateja na ni wiki ya kuwahudumia wateja pamoja na kuwahamasisha wateja wajitokeze kufungua akaunti katika benki hiyo katika tawi la Kariakakoo jijini Dar es Salaam.
Amesema wateja ambao hawana akaunti katika benki hiyo waende wakafungue ili kuweza kujipatia huduma kedekede zilizopo katika benki hiyo ikiwa pamoja na kujipatia mikopo.
Meneja wa benki ya CRDB tawi la Kariakoo, Diana Mtalo akizungumza na wateja wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuwashukuru pamoja na kuwaomba kufungua akaunti za benki katika Tawi hilo kwani wanatoa mikopo mbalimbali katika tawi hilo. Wiki ya Huduma kwa mteja huadhimishwa kila mwaka kwaajili kusherekea pamoja na kuwahudumia wateja wao inavyopaswa.
Baadhi ya Wateja wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo wakifungua Shampeini kwaajili ya kusherekea pamoja wiki ya huduma kwa wateja ambalo huadhimishwa kila mwaka.
Meneja wa benki ya CRDB tawi la Kariakoo, Diana Mtalo pamoja na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo wakigonganisha glasi za shampeni kwaajili ya kudherekea wiki ya huduma kwa mteja ambayo huadhimishwa kila mwaka.
Wateja wa benki ya CRDB tawi la Kariakoo wakilishwa keki ikiwa ni kuadhimisha ufunguzi wa wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
Wateja na wafanyakazi wa beki ya CRDB tawi la Kariakoo wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka.
Hivyo makala WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIVYOFANA BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.
yaani makala yote WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIVYOFANA BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIVYOFANA BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wiki-ya-huduma-kwa-wateja-ilivyofana.html
0 Response to "WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIVYOFANA BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM."
Post a Comment