Loading...

Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu

Loading...
Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu
link : Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu

soma pia


Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe amempa tano Mbunge wa Singida Kaskazini(CCM), Lazaro Nyalandu kuwa ameonyesha uongozi.

Zitto ametoa maoni yake hayo baada ya Nyalandu kuamua kujiondoa CCM na kuachia nafasi yake ya ubunge.

Zitto ameandika, "Lazaro Nyalandu, umeonyesha uongozi. Kwa namna haki za watu zinavyovunjwa na uchumi wa nchi unavyoporomoka, unahitaji roho ngumu sana kuwa CCM. Umefanya maamuzi sahihi, wakati sahihi na kwa sababu sahihi. Kila la kheri."

Lazaro Nyalandu leo ametangaza kujivua nafasi zake ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kuandika barua yake ya kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge kwa kile alichodai kuwa Chama Cha Mapinduzi na Bunge vimekuwa vikishindwa kuisimamia serikali na badala yake kutumiwa na serikali jambo ambalo yeye anaona halina afya katika maendeleo ya nchi na linadidimiza haki mbalimbali. 


Hivyo makala Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu

yaani makala yote Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/zitto-kabwe-pasua-kichwa-ampongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zitto Kabwe Pasua kichwa ampongeza Nyalandu"

Post a Comment

Loading...