Loading...

ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA

Loading...
ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA
link : ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA

soma pia


ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA

Mwambawahabari
Aliyekuwa mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Likuyufusi mkoani Ruvuma.
Gama aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 24, 2017 atazikwa Jumatatu Novemba 27,2017 katika makaburi hayo yaliyopo umbali wa kilomita 25 kutoka Songea mjini.
Issa Fussi ambaye ni msemaji wa familia na mdogo wa Gama amesema amefariki usiku wa kuamkia leo akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni ya Peramiho.
Amesema Gama alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu na alipelekwa hospitalini hapo Jumatano Novemba 22,2017 usiku na kulazwa hospitalini hapo .
Fussi amesema msiba huo ni pigo kwa familia kwa kuwa Gama alikuwa nguzo akitegemewa katika masuala mbalimbali ya maendeleo na kifamilia.
Amesema mwili wa marehemu Gama umehifadhiwa katika Hospitali ya Peramiho na utaratibu wa mazishi unaendelea.


Hivyo makala ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA

yaani makala yote ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/aliyekuwa-mbunge-wa-songea-mjini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIYEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI (CCM),LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment

Loading...