Loading...

Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

Loading...
Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
link : Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

soma pia


Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

Kaimu mkurugenzi wa shirika la wanawake katika Sheria  na Maendeleo Afrika (WiLDAF),Anna Kulaya,akiongea wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kampeni hizo

……………………………………………………………………….
Kampeni  ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia inayoshirikisha wadau mbalimbali wanaopinga  vitendo hivyo inazinduliwa  nchini kesho jijini Dar es Salaam ambapo Makamu wa Rais,Mh.Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea maandamano ya wadau hao ambayo yataanzia katika viwanja vya shule ya msingi ya Muhimbili na kuishia katika viwanja vya leaders.
Kampeni hizo ambazo hufanyika duniani kote kwa hapa nchini zinaratibiwa na Shirika lisilo la kiserikali la wanawake katika sheria na Maendeleo Afrika (WiLDAF) kwa kushirikiana na Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (MKUKI) ,Wadau wa Maendeleo na Asasi za Kiraia
Mwaka huu kampuni ya Tanzania Breweries Limited,TBL chini ya kampuni mama ya ABINBEV imejitosa katika kampeni hizo ambazo itasambaza jumbe mbalimbali za kuelimisha jamii kupitia kampeni yake ya #NO EXCUSE!!! ACHA SABABU, BADILIKA inayoenda sambamba na kampeni yake ya kuelimisha jamii juu ya Unywaji wa kistaarabu


Hivyo makala Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

yaani makala yote Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-mh-samia-suluhu-hassan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan kuzindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia"

Post a Comment

Loading...