Loading...

Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake.

Loading...
Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake.
link : Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake.

soma pia


Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake.






Na Ramadhani Ali – Maelezo    18.11.2017                                       
Wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa nchini kutoka nje wameshauriwa kutoogopa  gharama wakati wa kusafirisha bidhaa zao na wahakikishe wanatumia njia bora za usafirisha ili mizigo yao ifike ikiwa salama.

Mkuu wa Idara ya Udhibiti na usalama wa chakula wa Bodi ya Chakula na Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Khamis Ali Omar ametoa ushauri huo wakati wa  kuangamiza tani 11.6  za maziwa katika dampo la Kibele yaliyoingizwa nchini baadhi yakiwa yameharibika kutokana na usafirishaji mbaya.

Alieleza kuwa sehemu ya maboksi ya maziwa yalipasuka na kuharibu mengine na baada ya kuyafanyia uchunguzi walijiridhisha kuwa yalikuwa hayafai kwa matumizi ya binaadamu.

Alisema waliishauri Kampuni iliyoiingiza maziwa hayo Farid Supply kuyarejesha yanakotoka ama kuyaangamiza baada ya kuona yako katika hali hatarishi ya afya za wananchi na walikubali yaangamizwe ili kupunguza gharama ya kuyarejesha.

Dkt. Khamis aliwataka wafanyabiashara kuelewa kuwa kunatafauti kubwa ya kusafirisha vyakula vya maji maji na bidhaa nyengine za kawaidi na vyakula vya maji maji vinahitaji tahadhari kubwa zaidi wakati wa kusafirishwa.

Alisema lilijitokeza katika kusafirisha maziwa hayo ni kukosekana umakini na  kusababisha kontena lililobeba maziwa kuserereka wakati wa safari na baadhi ya maboksi yalianguka na kuapasuka nadani ya kontena hilo.

Meneja wa Kampuni ya Farid Supply Mansour Said ambae alishiriki katika zoezi hilo Kibele, alikubali kuwa kulitokea tatizo katika kontena hilo na baadhi ya maboksi ya maziwa yalipasuka lakini sehemu kubwa ya maziwa hayo yalikuwa hayajaharibika na yalikuwa yanafaa kutumika.

Alisema maziwa hayo yaliyokuwa na thamani ya zaidi ya sh. 52 milioni huenda yalianza kuharibika baada ya kuzuiliwa kwa kwa kipindi cha miezi nane katika bandari ya Zanzibar .


Hivyo makala Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake.

yaani makala yote Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/bodi-ya-chakula-dawa-na-vipodozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Tani 11.6 za Maziwa na Bidhaa Mchanganyiko Zilizoharibika Kwaq Kumaliza Muda wa Matumizi Yake."

Post a Comment

Loading...