Loading...
title : BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA
link : BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA
BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA
Na Karama Kenyunko
Leo
Novemba 13, 2017 Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam,
imemuhukumu msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael "Lulu"
kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia
ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba
Hukumu
hiyo imesomwa na Jaji Sam Rumanyika ambaye amesema, ameridhika na
ushahidi wa mashahidi wanne wa upande wa mashtaka na wazee wa baraza
waliotoa maoni yao kuwa kweli mshtakiwa Lulu aliuwa bila ya kukusudia.
Lulu ametiwa hatiani chini ya kifungu cha sheria Namba 195 cha cha mwenendo wa mashtaka ya jinai.
Hivyo makala BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA
yaani makala yote BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/breaking-nyuzzzzz-muigizaji-wa-filamu_13.html
0 Response to "BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA"
Post a Comment