Loading...
title : CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA
link : CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA
CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti Juu ya Fursa na Changamoto za Kilimo cha Mkataba uliofanyika chuoni hapo mkoani Morogoro Novemba 24, 2017. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka (kushoto), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija, nakala ya kitabu cha ripoti ya utafiti juu ya fursa na changamoto za kilimo cha mkataba wakati wa hafla ya uzinduzi wa ripo hiyo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija (wa pili kulia), Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka (wa pili kushoto), Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Dk. Hawa Tundui (kulia) na kushoto ni Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha, Dk. Nsubiri Isaga.
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo pamoja na watafiti.
Hivyo makala CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA
yaani makala yote CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/chuo-kikuu-mzumbe-chazindua-ripoti-ya.html
0 Response to "CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA"
Post a Comment