Loading...
title : DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi.
link : DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi.
DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi.
Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akijadiliana machache na meneja mwajiri wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki wakati alipofanya mkutano wake na vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akitolea ufafanuzi wa mambo machache kwa vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Asumpter Mshama.
Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akaribishwa na uongozi wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki ili aweze kuongea na vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Mkutano ukiendelea.
Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama aliyeambatana na viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama wakifanya mkutano wa ndani na vingozi wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki katika mambi yao waliyoiweka kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Kamati ya ulinzi na usalama ikifuatilia kwa karibu.
Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama (kushoto) na katibu tawala wilaya ya Kibaha Sozi Ng'ate (kulia) wakipata maelezo machache kwa kiongozi wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki wakati walipotembelea kambi yao iliyopo kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Hivyo makala DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi.
yaani makala yote DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dc-kibaha-auagiza-uongozi-wa-kampuni-ya.html
0 Response to "DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi."
Post a Comment