Loading...
title : Tamasha la Sita la Watu Wenye Ulemavu Lafanyika Jijini Dar es Salaam.
link : Tamasha la Sita la Watu Wenye Ulemavu Lafanyika Jijini Dar es Salaam.
Tamasha la Sita la Watu Wenye Ulemavu Lafanyika Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akimkabidhi Cheti cha Shukrani Meneja wa Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, kutoka kwa Shirikisho la Vyama vya wenye ulimavu Tanzania, SHIVYAWATA, wakati wa Tamasha la Sita la Watu wenye Ulemavu, lililofanyika kwenye ukumbi wa LAFP, Makumbusho jijini Dar es Salaam, leo Nov 2, 2017. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Meneja wa Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, akizungumza wakati wa Tamasha hilo.
Meneja wa Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, akionyesha Cheti alichokabidhiwa katika Tamasha hilo.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Tamasha hilo.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Tamasha hilo.
Wakipasha misuli baada ya mazungumzo ya muda mrefu
Salamu.......
Paleeee, umeona eeeh....
Hivyo makala Tamasha la Sita la Watu Wenye Ulemavu Lafanyika Jijini Dar es Salaam.
yaani makala yote Tamasha la Sita la Watu Wenye Ulemavu Lafanyika Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la Sita la Watu Wenye Ulemavu Lafanyika Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tamasha-la-sita-la-watu-wenye-ulemavu.html
0 Response to "Tamasha la Sita la Watu Wenye Ulemavu Lafanyika Jijini Dar es Salaam."
Post a Comment