Loading...

DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO

Loading...
DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO
link : DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO

soma pia


DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO


Na Dotto Mwaibale, Nzega Tabora

MKUU wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Godfrey Ngapula amesema Sayansi na Teknolojia haiwezi kuepukika katika kilimo nchini.

Ngapula ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi na kukabidhi mbegu bora za Mahindi ya Wema 2109, mihogo na Viazi lishe kwa ajili ya kuanzisha mashamba darasa katika vijiji vya Shila, Iyombo, Upungu, Lububu na Kapanga wilayani humo.

Mkuu huyo wa wilaya alisema ili kufanya kilimo chenye tija sayansi na teknolojia haiwezi kuepukika kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo.Alisema kilimo cha kisayansi kina tija kwani mkulima anaweza kulima eneo dogo na kupata mavuno mengi kuliko kilimo cha mazoea ambacho mkulima hulima shamba kubwa mazo kidogo.

Ngapula aliipongeza Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kuwapelekea mbegu hizo kwa kushirikiana na Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB) 

Akizungumzia matumizi ya mbegu zilizozalishwa kwa teknolojia ya uhandisi jeni (GMO) alisema hayakwepeki kwa kuwa mbegu hizo zinasifa ya kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo ukame na wadudu waharibifu wa mazao.
Wanawake wa Kikundi cha Wasafi Camp Imala Makoye kilichopo Kijiji cha Iyombo Kata ya Utwigu wakiwa wamebeba mbegu ya Viazi lishe wakielekea kupanda katika shamba darasa.
Mtafiti wa mazao ya mizizi kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Maruku mkoani Kagera, Jojianas Kibura, akiwaelekeza wanakikundi hicho jinsi ya kupanda mbegu hiyo.
Wanawake wa Kikundi cha Wasafi Camp Imala Makoye kilichopo Kijiji cha Iyombo Kata ya Utwigu wakipanda mbegu hiyokatika shamba lao.



Hivyo makala DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO

yaani makala yote DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dc-nzega-asema-sayansi-na-teknolojia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO"

Post a Comment

Loading...