Loading...
title : LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI
link : LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI
LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI
Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde kushoto akimnadi mgombea udiwani Kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mji kupitia Chama cha Mapinduizi (CCM) Mustapha Shengwatu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba sokoni wilayani humo .
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwataka wananchi wa Kata ya Majengo kumchagua mgombea wa CCM ili waweze kushirikiana naye kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa kasi zaidi.
Mgombea Udiwani wa Kata ya Majengo katika Halmashauri ya Korogwe Mji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mustapha Shengwatu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba sokoni .
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi katikati akifuatilia hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Mtera mkoani Dodoma Livingstone Lusinde maarufu kama Kibajaji wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda na kushoto ni Mgombea Udiwani wa CCM Mustapha Shengwatu.
Hivyo makala LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI
yaani makala yote LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/lusinde-auwasha-moto-korogwe-mkoani.html
0 Response to "LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI"
Post a Comment