Loading...

DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA

Loading...
DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA
link : DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA

soma pia


DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA

Dokta Louis Shika akiwa na meneja wake Catherine Kahabi wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna tamasha hilo la usiku wa 900 itapendeza zaidi litakavyokuwa siku hiyo na kuwataka watu kuhudhuria na kumsikiliza bilionea huyo atazungumza nii juu ya maisha yake kiujumla pale Dar live,leo katika ukumbi wa habari maelezo Jijini Dar es Salaam.

Na Agness Francis Blogu ya Jami.
Dokta Louis Shika ambaye ni mshindi wa mnada wa uuzaji wa Nyumba za Lugumi awakaribisha wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kushiriki tamasha la usiku wa 900 itapendeza ambapo atazungumzia maisha yake kiujumla toka alipoanzia hadi mpaka sasa alipofikia.

Meneja wa Dkt Shika Catherine Kahabi amesema hayo leo Jijini Dar es salaam katika ukumbi wa habari maelezo ambapo Tamasha hilo limeandaliwa na udhamini wa Global tv ambapo mgeni rasmi atakuwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Rawrence Kego Masha.

Aidha amesema kuwa lengo ni kutaka kumtambulisha rasmi Dkt Shika ili kumuweka katika muonekano wa kibilionea na akiwa kama miongoni mwa watu walioshika umaarufu mkubwa kwa muda mfupi hapa nchini

Hata hivyo bilionea huyo amemalizia kwa kuwataka wakazi wa Dar es Salaam kuhudhuria Tamasha hilo ambalo litasindikizwa na Burudani mbalimbali ikiwemo wanamuziki na vikundi vya vichekesho hapa nchin.


Hivyo makala DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA

yaani makala yote DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dkt-shika-kutambulishwa-rasmi-usiku-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA"

Post a Comment

Loading...