Loading...

KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

Loading...
KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM
link : KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

soma pia


KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, kamishina msaidizi mwandamizi wa jeshi la polisi (SACP) Fortunatus Musilim,  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) wakati akimtangaza rasmi mdhamini mkuu wa Wiki ya Nenda kwa usalama mkoa wa Dar es Salaam, inayotarajia kuanza Nov 18 hadi 25 kwenye Viwanja vya Biafra jijini. Kushoto kwake ni Mkuu wa Matawi na Mitandao wa Benki ya StanBic, ambao ni wadhamini, Mussa Kitoi (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Teddy Mapunda. Picha na Muhidin Sufiani


Hivyo makala KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

yaani makala yote KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kamanda-musilim-atangaza-mdhamini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMANDA MUSILIM ATANGAZA MDHAMINI KUELEKEA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...