Loading...

KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA

Loading...
KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA
link : KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA

soma pia


KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA

Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), inaendelea kesho Alhamisi Novemba 9, 2017 kwa michezo saba ambako Dar City itacheza na Majimaji Rangers ya Lindi.


Mchezo huo utafanyika kwenye Uwanja wa Bandari jijini Dar es Salaam huku Real Mojamoja ya Iringa ikiwa wenyeji wa African Wanderers kwenye Uwanja wa Samora mkoani Iringa wakati Shupavu na Sabasaba zitachuana mjini Morogoro.



Mashujaa ilikwisha kupata mpinzani ambaye ni Buseresere ambaye kabla aliifunga Isoko katika hatua ya awali. Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.



The Mighty Elephant itacheza na Makanyagio kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea. Namungo na Villa Squad nazo zinacheza kesho kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara .






Hivyo makala KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA

yaani makala yote KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kombe-la-shirikisho-la-asfc-kuendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA"

Post a Comment

Loading...