Loading...

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017.

Loading...
MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017.
link : MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017.

soma pia


MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule amefunga wiki ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani mkoa wa Shinyanga yaliyoanza siku ya Jumatatu Novemba 13,2017 katika viwanja vya jeshi la Zimamoto mjini
Shinyanga.

Akizungumza leo Jumamosi Novemba 18,2017 wakati wa kufunga maadhimisho hayo, yenye kauli mbiu "Zuia ajali,Tii sheria,Okoa
Maisha",Kamanda Haule aliwataka watumiaji wa barabara kuzingatia alama na michoro ya barabarani na watembea kwa miguu kuhakikisha wanapokuwa barabarani wanavuka katika maeneo yanayostahili ili kupunguza ajali zisizo za lazima.

Katika hatua nyingine aliwataka wananchi kulinda miundombinu ya barabara kwa kushirikiana na serikali na kuhakikisha wanawakata baadhi ya watu wasio waaminifu wanaoiba miundombinu ya barabara.
“Naomba tushirikiane kuwafichua na kuwakamata watu wanaoiba miundombinu ya barabara,na tukiwakamata tuwafikishe katika vyombo vya sheria”,aliongeza Haule.
Aidha alitumia fursa hiyo kuwakumbusha akina mama kukaa mkao wa kiume wanapopanda pikipiki ama baiskeli badala ya kukaa upande upande ili kupunguza ajali za barabarani.
Naye Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Shinyanga,Anthony Masanzu alisema katika wiki hiyo ya nenda kwa usalama,wamefanikiwa kutoa elimu ya usalama barabarani kwa waendesha bodaboda 184.
Alisema mbali na kutoa elimu kwa waendesha bodaboda na wananchi waliotembelea mabanda ya usalama barabarani pia walitembelea shule mbalimbali mjini Shinyanga ambazo zipo karibu na barabara.
“Tumetumia wiki hii kutoa elimu ya usalama barabarani kwa makundi mbalimbali ya watumiaji wa barabara ili kuhakikisha kuwa tunazuia ajali na kuokoa maisha yao”,aliongeza Masanzu.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Shinyanga,Anthony Masanzu akizungumza wakati wa kufunga wiki ya nenda kwa usalama barabarani mkoa wa Shinyanga
Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Shinyanga,Wilson Majiji akizungumza wakati wa kufunga wiki ya nenda kwa usalama barabarani mkoa wa Shinyanga.Burudani ya ngoma ya kucheza na nyoka ikiendelea
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule akitoa vyeti kwa mmoja wa waendesha bodaboda (kati ya 184) waliopata mafunzo/elimu ya usalama barabarani wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani mkoa wa Shinyanga mwaka 2017.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017.

yaani makala yote MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/maadhimisho-ya-wiki-ya-nenda-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA SHINYANGA, 2017."

Post a Comment

Loading...