Loading...

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA.

Loading...
MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA.
link : MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA.

soma pia


MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA.

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW 

Wataalam wa Maendeleo ya Jamii wana jukumu la kuhamasisha wananchi kubadili fikra zao ili wawe na mtazamo chanya unaowapa hamasa ya kushiriki kazi za kujitolea ili kujiletea maendeleo yao wenyewe na Taifa lao. 

Hayo yamezungumzwa Mjini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu kutoka OR TAMISEMI Bw. Tickson Nzunda wakati wa Mkutano wa Mwaka kwa Wataalam wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii na kuwataka washiriki kufanya kazi zao kwa umahiri, kujenga uelewa kwa viongozi wa Halmashauri, kuchochea mabadiliko sehemu za mitaani na vijijini, kuelimisha jamii kubadili mitazamo na fikra, na hivyo kukuza ari ya wananchi kushiriki maendeleo ili kufikia uchumi wa kati na wa viwanda. 

Pamoja na mambo mengine, Naibu Katibu Mkuu amewataka Wataalam wa Maendeleo ya Jamii kuratibu shughuli za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu ili kuhakikisha kuwa mashirika hayo yanakuwa na mchango unaokusudiwa katika kufanikisha mipango ya Halmashauri, Mikoa na Taifa ili kuboresha ustawi na maendeleo ya watu.

“Tunatarajia kuwa Mashirika Yasiyo ya Kiseriklali yangehakikisha kuwa yanasaidia kutoa mchango katika kuwekeza kwenye uwekezaji wa vipaumbele vya kitaifa vilivyoainishwa ikiwemo kuboresha miundo mbinu ya elimu mashuleni ili kuwa na mazingira wezeshi ya kufundishia na kujifunzia, jambo ambalo halifanyiki ipasavyo” alisema Bw. Nzunda.

Naye Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga amefafanua kuwa watumishi wa maendeleo ya jamii ndiyo washawishi na waragibishi wakuu katika kuamsha ari ya wananchi kushiriki mipango ya maendeleo kwa ajili ya mabadiliko ya watu wenyewe.



Hivyo makala MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA.

yaani makala yote MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/maafisa-maendeleo-ya-jamii-ni-jeshi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU OR TAMISEMI TICKSON NZUNDA."

Post a Comment

Loading...