Loading...
title : MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA
link : MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA
MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA
Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle (katikati) akitoa msisitizo wakati alipokua akizungumza na Mameneja na wakuu wa vituo kutoka wakala huo (hawapo pichani) kabla ya kuwatunuku vyeti baada ya kumaliza mafunzo ya Manunuzi na Usimamizi wa Mikataba yaliyomalizika mwishoni mwa wiki, Kulia ni Mhandisi Dkt Ramadhan Mlinga aliyeendesha mafunzo hayo na kushoto ni Mhandisi Aurelia Ngopa kutoka Temesa. Mafunzo hayo yalifanyika katika chuo cha Uhandisi na Teknolojia (COET) Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya Mameneja na wakuu wa vituo kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakimsikiliza Mhandisi Aurelia Ngopa alipokua akisoma risala kwa mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kuwatunuku vyeti Mameneja hao baada ya kuhitimu mafunzo ya Manunuzi na Usimamizi wa Mikataba zilizofanyika mwishoni mwa wiki katika chuo cha Uhandisi na Teknolojia (COET) Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya Mameneja na wakuu wa vituo kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakimsikiliza mgeni rasmi Mhandisi Japhet Maselle alipokua akizungumza nao wakati wa sherehe ya kuwatunuku vyeti Mameneja hao baada ya kuhitimu mafunzo ya Manunuzi na Usimamizi wa Mikataba zilizofanyika mwishoni mwa wiki katika chuo cha Uhandisi na Teknolojia( COET) Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA
yaani makala yote MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mameneja-temesa-wahitimu-mafunzo.html
0 Response to "MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA"
Post a Comment