Loading...

RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI.

Loading...
RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI.
link : RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI.

soma pia


RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti, ameanza rasmi kazi Mkoani humo kwa kukagua ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli. 

Mnyeti alitembelea eneo hilo na mwenyeji wake mkuu wa wilaya hiyo mhandisi Zephania Chaula na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo. Alipongeza kasi ya maandalizi ya ujenzi huo kwani kila sehemu aliyokagua ambapo ukuta utapita aliwakuta vijana hao wa JKT wana ari na hamasa ya utendaji kazi. 

"Kwa namna vijana wetu wanajeshi wanavyoonekana kwenye maeneo yote niliyopitia wanaonyesha wataimaliza kazi hii ndani ya muda mfupi tofauti na agizo la miezi sita lililotolewa na Rais Magufuli," alisema Mnyeti.Aliwaahidi kutoa ushirikiano kwa jambo lolote lile watakalokuwa wanalitaka kwenye serikali ili kuhakikisha agizo hilo la Rais Magufuli linatekelezeka kwa wakati husika. 

Kamanda wa operesheni ukuta Mirerani, Kanali Festus Mang'wela alimhakikishia mkuu huyo wa mkoa kuwa vijana wote wanaojenga ukuta huo watafikishiwa ujumbe huo wenye lengo la manufaa ya kulinda afya zao. Kanali Mang'wela alisema ukuta huo wenye kilometa 24.5 na urefu wa mita tatu kwenda juu unatarajiwa kuanza kujengwa rasmi Novemba 6 mwaka huu. 

Alisema wanatarajia mkuu wa JKT Meja jenerali Michael Isamuhyo ndiye atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo wa ukuta wanaotarajia kuujenga kwa muda usiopungua miezi sita. Alitoa shukrani kwa serikali ya wilaya ya Simanjiro kwa ushirikiano mkubwa wanaowapa askari hao wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo la maandalizi ya ujenzi wa ukuta huo.   
 Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti (kushoto) akimsikiliza msimamizi wa ujenzi wa ukuta unaojengwa kuzunguka madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, Kanali Festus Mang'wela, (katikati) baada ya kutembelea zahanati ya kijiji cha Naisinyai ambapo madaktari wa JWTZ wanatoa huduma za afya. 
 Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti (kulia) akikagua maandalizi ya ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro.
 Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti (kushoto) akikagua maandalizi ya ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti (kushoto) akikagua ramani ya ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro. 

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA 


Hivyo makala RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI.

yaani makala yote RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rc-mnyeti-akagua-ujenzi-ukuta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE MIRERANI."

Post a Comment

Loading...