Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU AKIONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT
link : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU AKIONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU AKIONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT
Mwambawahabari
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Katibu Mkuu. Wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Marehemu, Alhaji Yahya Msulwa .leo Novemba,18. 2017. Nyumbani kwa marehemu Toangoma jijini Dar es salaam.Aliye simama kwa kwa Waziri Mkuu ni Mke wake Mama Mary Majaliwa .
Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Katibu Mkuu. Wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Marehemu, Alhaji Yahya Msulwa .aliye simama kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa pamoja na Mke wake leo Novemba,18. 2017. Nyumbani kwa marehemu Toangoma Jijini Dar es salaam.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU AKIONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU AKIONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU AKIONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu_18.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU AKIONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT"
Post a Comment