Loading...
title : MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA
link : MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA
MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA
Meneja huduma za Ziada na Tehama wa Vodacom Tanzania PLC,Mathew Kampambe(kushoto) na Msimamizi mwandamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Chiku Saleh(katikati)wakionyeshwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina Nkurlu,namba ya simu ya mshindi aliejishindia Tsh. Laki 15/- Godwin Kasembe Mkazi wa kinondoni jijini Dar es Salaam wakati wa kuchezesha droo ya 17 ya Tusua Mapene inayoendeshwa na kampuni hiyo ili Mteja wa Vodacom aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia)akiongea kwenye simu na mmoja wa washindi wakati wa kuchezesha droo ya 17 ya Tusua Mapene inayoendeshwa na kampuni hiyo ili Mteja wa Vodacom aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au“VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu,kushoto ni Meneja huduma za Ziada na Tehama wa kampuni hiyo, Mathew Kampambe na Msimamizi mwandamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Chiku Saleh.
Hivyo makala MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA
yaani makala yote MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mkazi-wa-dar-es-salaam-atusua-milioni.html
0 Response to "MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA"
Post a Comment