Loading...
title : Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba
link : Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba
Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Masuala ya Ulemavu na Maendeleo Jumuishi Zanzibar (ZACEDID), Salma Haji Saadat akizungumza na wadau mbali mbali wanaoshuhulikia masuala ya walemavu Pemba, wakiwemo mashekhe, walimu wa madrasa za Qurani na Watendaji wa Taasisi za Serikali, huko katika Ukumbi wa Maktaba Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid, akifungua mkutano juu ya Muongozo wa ufikiaji wa Miundombinu kwa watu wenye ulemavu Zanzibar na kukitambulisha kituo cha Masuala yaUlemavu na Maendeleo Jumuishi, kwa viongozi wa taasisi za kidini, jumuiya za kiraia na walimu wa vyuo vya Qur-ani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya washiriki wa mkutano wa siku moja juu ya Muongozo wa ufikiaji wa Miundombinu kwa watu wenye ulemavu Zanzibar na kukitambulisha kituo cha Masuala yaUlemavu na Maendeleo Jumuishi, kwa viongozi wa taasisi za kidini, jumuiya za kiraia na walimu wa vyuo vya Qur-ani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba
yaani makala yote Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mkutano-wa-wadau-mbali-mbali.html
0 Response to "Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba"
Post a Comment