Loading...
title : MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA LA TATU UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 66-SERIKALI
link : MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA LA TATU UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 66-SERIKALI
MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA LA TATU UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 66-SERIKALI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa (alietangulia) akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wakitembelea mradi wa jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha,Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Serikali imesema mradi wa ujenzi wa jengo la abiria la tatu umekamilika kwa asilimia 66 na kwamba mradi huo utakamilika Septemba, mwakani kama ilivyopangwa kwa kuwa kwa saasa hakuna kikwazo chochote.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi), Elias Kwandikwa wakati alipotembelea mradi huo leo, jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa serkali imeshamlipa mkandarasi fedha anazodai na kwa sasa hawana deni.
"Awamu hii ya pili tunajenga uwanja huu kwa fedha zetu za ndani, hii ni ishara tunaelekea kuzuri kwamana itafika mahali tutakuwa na miradii kama hii kwa fedha zetu wenyewe," amesema Kwandikwa.
Msimamizi wa Mradi huo Mhandisi,Barton Komba(kulia) akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa wakiwa kwenye eneo la mradi huo leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA LA TATU UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 66-SERIKALI
yaani makala yote MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA LA TATU UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 66-SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA LA TATU UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 66-SERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mradi-wa-ujenzi-wa-jengo-la-abiria-la.html
0 Response to "MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA LA TATU UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 66-SERIKALI"
Post a Comment