Loading...

WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK

Loading...
WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK
link : WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK

soma pia


WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK

Wito umetolewa kwa wananchi kote nchini kuweza kujijengea utamaduni wa kuwekeza katika mfumo wa hisa na hasa katika hisa za Benki ya Maendeleo 

Wito huo kwa umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Ibrahim Mwangalaba jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kusogezwa mbele kwa zoezi lao la kuuza hisa za benki hiyo.Mwangalaba alisema njia kubwa ya kuwasaidia wananchi katika kujikwamua kimaisha ni kuchangamkiakia fursa zinazojitokeza ikiwemo ya kununua hisa za benki hiyo.Zoezi la uuzwaji wa hisa za benki hiyo ambalo lilianza Septemba 21, mwaka huu na lilikuwa limalizike leo sasa litandelea hadi Desemba 4, mwaka huu ili Watanzania wengi waweze kunufaika nalo.

Aliongeza kuwa lengo lao ni kuuza hisa zaidi ya mil.17 kwa Watanzania wapatao 170,000 kutoka mikoa yote ya Tanzania.Benki ya Maendeleo ni ya Watanzania wote, hivyo tumeona ni vema zoezi hilo lifanyike nchi nzima kwani awali tulikuwa tayari tumewafikia Watanzania kutoka mikoa 13 pekee na sasa tutatumia muda ulioongezwa kufika mikoa yote," alisema Mwangalaba.

Hisa moja inauzwa kuanzia sh.600 na kima cha chini cha kumiliki hisa ni 100.


Hivyo makala WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK

yaani makala yote WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/watanzania-wasogezewa-mbele-fursa-za_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATANZANIA WASOGEZEWA MBELE FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO BANK"

Post a Comment

Loading...