Loading...
title : NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI
link : NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Balozi Hassan Simba Yahaya, akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi (hawapo pichani) katika mkutano wa kujadili taarifa za Utekelezaji katika baraza hilo, mkutano huo ulifanyika jana jijini Dar es salaam, na kukutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi (hawapo pichani) katika mkutano wa kujadili taarifa za Utekelezaji katika baraza hilo, mkutano huo ulifanyika jana jijini Dar es salaam na kufunguliwa rasmi na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Balozi Hassan Simba Yahaya. Picha na Jeshi la Polisi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Balozi Hassan Simba Yahaya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, wakiwa katika picha na wajumbe wa baraza la wafanyakazi baada ya kufunguliwa rasmi kwa kikao cha kujadili taarifa za utekelezaji wa baraza hilo jana jijini Dar es salaam.
Hivyo makala NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI
yaani makala yote NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/naibu-katibu-mkuu-wizara-ya-mambo-ya.html
0 Response to "NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI"
Post a Comment