Loading...

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

Loading...
RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO
link : RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

Msaidizi wa Rais Kanali Msafiri Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Nassor wakati alipowasilisha msaada wa zulia la kuswalia msikitini hapo akiwa kaongozana na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Bw. Jaffary Haniu (nyuma ya Imamu) leo Novemba 17, 2017.
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waumini wa dini ya Kiislam wa Msikiti wa Noor uliopo katika Kijiji cha Mkange, Miono,  Wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani, wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa msaada wa zulia la kuswalia na fedha taslim Shilingi milioni Mbili.
Zulia pamoja na fedha hizo zimekabidhiwa na Msaidizi wa Rais Kanali Mbaraka Mkeremy kwa niaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Imamu wa Msikiti huo Alhaji Sheikh Khamis Nassor wa Msikiti Noor uliopo katika kijiji cha Mkange, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani.
Mara baada ya kukabidhi Zulia na fedha hizo, Kanal Mkeremy kwa niaba ya Rais Magufuli amewataka waumini wa Msikiti huo kutumia msaada huo kwa lengo lililokusudiwa.
Akiungumza mara baada ya kukabidhiwa Msaada huo, Sheikh Nassor amesema kwa niaba ya waumini wa Msikiti huo wanamshukuru Mhe. Rais kwa kuitikia ombi lao la kupata zulia, na kwamba  kwa kutimiza ahadi yake hiyo Mhe. Rais amedhihirisha kuwa yeye ni mtu wa watu asiyebagua dini wala kabila katika kusaidia jamii ya kitanzania.
Sheikh Nassor amesema waumini wa msikiti huo wanamuombea na wataendelea  kumuombea Mheshimiwa Rais na kuwataka watanzania wote nchini kuungana nao kumuombea Rais bila kujali itikadi za kisiasa ama imani za kidini kwani anayoyafanya Rais kwa wananchi wa Tanzania ni kwa manufaa ya wananchi wote.

Jaffar Haniu
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Pwani
17 Novemba 2017.


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-atoa-msaada-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO"

Post a Comment

Loading...