Loading...
title : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI
link : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Balozi wa China nchini Mhe. WANG Ke wakifuarahia jambo walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Mjini Dodoma.Naibu Waziri amemuhakikishia Mhe.Balozi WANG Ke kuwa Wizara na Serikali wataendelea kudumisha uhusiano wa kahistoria uliodumu kwa muda mrefu baina ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China. Pia Mhe. Dkt. Kolimba alitumia fursa hiyo kuishukuru Serikali ya China kwa kufadhili miradi mbalimbali hapa nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Balozi wa China nchini Mhe. WANG Ke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje-afanya.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI"
Post a Comment