Loading...
title : Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua changamoto ya wafanyabiashara kando ya Morogoro road
link : Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua changamoto ya wafanyabiashara kando ya Morogoro road
Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua changamoto ya wafanyabiashara kando ya Morogoro road
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wananchi wa Mbezi Mwisho waliosimama katikati barabara ya Morogoro kuhusu kero zao mbalimbali wakati akitokea Kibaha Kwa mfipa mkoani Pwani ambapo aliweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere.
Wananchi mbalimbali wakikimbilia msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kusimama katika eneo la Mbezi Mwisho ambapo aliwahutubia wananchi hao.
Wanchi wa Mbezi Mwisho wakishangilia wakati msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukipita katika eneo la Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibaha maili moja wakati akitokea Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani ambapo aliweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere. PICHA NA IKULU
Hivyo makala Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua changamoto ya wafanyabiashara kando ya Morogoro road
yaani makala yote Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua changamoto ya wafanyabiashara kando ya Morogoro road Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua changamoto ya wafanyabiashara kando ya Morogoro road mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-magufuli-awaagiza-viongozi-wa-mkoa.html
0 Response to "Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua changamoto ya wafanyabiashara kando ya Morogoro road"
Post a Comment