Loading...

NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI

Loading...
NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI
link : NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI

soma pia


NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa maandalizi ya vifaa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani unaofanyika katika kata 43 yamekamilika na awamu ya pili ya vifaa vitaanza kusafirishwa leo Ijumaa kwenda katika kata husika.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Kailima Ramadhani, alisema kwamba vifaa vitakavyosafirishwa kuanzia kesho ni maalumu kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo, makarani waongozaji pamoja na  mfano wa karatasi za kupigia kura.

Alisema awamu ya kwanza ya kusafirisha vifaa ulifanywa na tume wakati wa mafunzo ya wasimamizi wa uchaguzi ambayo yalifanyika mjini Dodoma ambavyo vilitumika wakati wa uteuizi wa wagombea udiwani katika kata zote.

“Napenda kuwahakikishia umma kwamba tume imejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi huu na maandalizi ya kupeleka vifaa katika husika yako vizuri na awamu ya pili ya upelekaji wa vifaa itapaelekwa kesho (leo),”alisema Ramadhani.

Alisema awamu ya tatu ya usafirishaji wa vifaa itahusisha  vifaa vichache ambavyo ni karatasi za kupigia kura pamoja na fomu za kutangazia washindi ngazi ya kituo na ngazi ya kata.



Hivyo makala NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI

yaani makala yote NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/nec-yasambaza-vifaa-vya-uchaguzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI"

Post a Comment

Loading...