Loading...
title : POLISI KIKOSI CHA RELI ,WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
link : POLISI KIKOSI CHA RELI ,WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
POLISI KIKOSI CHA RELI ,WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Koplo Grace Ndyamukama akimjulia hali mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia. Kulia ni Mama wa mtoto Nasra Khalfan.
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) ambaye pia ni Mkuu wa kituo cha Polisi Reli Martha Mdinka akimpa zawadi ya dawa ya meno, maji ya kunywa na juisi Hadija Selemani ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Rhoda Israel akimpa zawadi ya juisi Sada Issah ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
Maafisa wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli wakigawa zawadi za maji ya kunywa, dawa za mENO, juisi, mafuta ya kupakaa, sabuni za kuogea na kufulia kwa watoto waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala POLISI KIKOSI CHA RELI ,WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
yaani makala yote POLISI KIKOSI CHA RELI ,WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLISI KIKOSI CHA RELI ,WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/polisi-kikosi-cha-reli-wanawake-dawati.html
0 Response to "POLISI KIKOSI CHA RELI ,WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)"
Post a Comment