Loading...

RAIS MUGABE AJIUZULU.

Loading...
RAIS MUGABE AJIUZULU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MUGABE AJIUZULU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MUGABE AJIUZULU.
link : RAIS MUGABE AJIUZULU.

soma pia


RAIS MUGABE AJIUZULU.

Robert Mugabe













Dakika chache zilizopita, spika wa Bunge la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu .
Spika wa bunge Jacob Mudenda alisema kuwa hatua hiyo ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa mabadiliko mazuri ya mamlaka kulingana na chombo cha habri cha reuters.
Tangazo hilo la ghafla lilizuia harakati za bunge kutaka kumng'oa madarakani ambazo zilikuwa zimeanza dhidi yake.
Wabunge walifurahia kufuatia hatua hiyo na raia wameanza kusherehekea barabarani.
Awali bwana Mugabe alikuwa amekataa kujiuzulu licha ya jeshi kuchukua mamlaka huku hatua hiyo ikifuatiwa na maadamano ya raia waliotaka kiongozi huyo kung'atuka mamlakani wiki hii.Chanzo  BBC.


Hivyo makala RAIS MUGABE AJIUZULU.

yaani makala yote RAIS MUGABE AJIUZULU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MUGABE AJIUZULU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/rais-mugabe-ajiuzulu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MUGABE AJIUZULU."

Post a Comment

Loading...